Ramani ya aina ya vitunguu saumu

Kuhusu kazi

Lengo la tovuti hili ni kuleta pamoja habari zote za dunia zilizo muhimu kuhusu aina ya vitunguu saumu, na kutengeneza urodha ya wauzaji wanao aminika wa vitunguu saumu vilivyo bora zaidi kwa lishe na kwa upandaji.

Gawanya aina ya kitunguu saumu chako!

Je unakuza kitunguu saumu cha mkoani au cha urithi wa familia? Tutumie picha na maelezo yake.Tutafurahia kuiweka katika ratiba ya aina ya vitunguu saumu.

Tungelifurahia kama ungeliweza kutupatia karafuu, kipande ama vipande vya kitunguu saumu kadhaa tuweka katika benki yetu ya Mbegu na Mmea.Tutaikuza na kugawanya na wengine wapendao vitunguu saumu.

African Languages Volunteer Translators Wanted!

Help us translate this website into your mother tongue and thus help us to share the knowledge about astounding garlic variability. If you speak any African language and you want to work as volunteer translator for us, e-mail us to . It is only 300 words to translate.

Copyright © 2015–2024 Ramani ya aina ya vitunguu saumu Urodha ya aina ya vitunguu saumu
Sasisha la mwisho: 01. Aprili 2024